Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2014

SIKU YA UANUWAI WA UTAMADUNI DUNIANI KUADHIMISHWA MEI 21 KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga Akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani ambayo mwaka huu yataadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mei 21. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga     akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.Picha na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages