Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2014

MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WAHANDISI MJINI DODOMA



Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akiwahutubia Waandisi 130 wakiwemo baadhi ya Naibu Mawaziri, Naibu Makatibu Wakuu, Wabunge na Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi muda mfupi baada ya kuwaapisha jana

--
Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli (Mb) jana amewaapisha jumla ya Waandisi 130 wakiwemo baadhi ya Naibu Mawaziri, Naibu Makatibu Wakuu, Wabunge na Katibu Tawala wa mkoa wa Katavi.

     Baadhiya Viongozi walio apa leo mbele ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Verynice Kawiche, ni Mhandisi Gerson Lwenge (Mb), Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Charles Tizeba (Mb), Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhandisi Mussa Iyombe, Katibu Mkuu waWizara yaUjenzi, Mhandisi Bashiri Mrindoko, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Joseph Nyamhanga, Naibu Katibu Mkuu Wizara yaUjenzi.

    Viongozi wengine walio apa ni Katibu Tawala Mkoa wa Katavi, Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar Mhe. Hamadi Massauni, pamoja na Mbunge waTunduru Mashariki Mhe. RamoMakani



Pia kiapo hicho kitawafanya Wahandisi kufanyakazi kwa maadili bila kuvunja miiko au kulazimishwa kufanyakazi kinyume na maadili.

Baadhi ya Wahandisi viongozi walioapa jana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages