Breaking News

Your Ad Spot

May 26, 2014

Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages