Breaking News

Your Ad Spot

May 24, 2014

SALAMA JABIR AKUTANA USO KWA USO NA SHAQ O’NEALL NCHINI MAREKANI

Salama Oklahoma
Salama Jabiri akiwa mitaa yake
Mtangazaji asiyehishiwa na  vituko kila kukicha wa kipindi cha Mkasi Tv  ‘Salama Jabir’ au Kistuli ameachia picha za kutosha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiponda raha  nchini Marekani sambamba na familia ya mcheza kikapu wa ‘Oklahoma City Thunder’ Mtanzania  Hasheem Thabeet .
Akiwa nchini humo,  Mtangazaji huyo ameweza kupata  nafasi ya kutokelezea katika picha ya pamoja na wachezaji wakongwe wa mpira  wa kikapu akiwemo ‘Shaquille O’neal’ pamoja  na mchezaji wa zamani wa Houston Rockets ‘Charles Chuck  Barkley’. Unaweza ukatazama picha hapo chini
 Salama JabirBarrThabeet, Hasheem Thabeet na SalamaSalam na ShaqHapo sasa, Salama meno 32 yote nje huku akipata uSelfie na mcheza kikapu Shaquille O’neal. Lol!
Salam Jabir Mkasi  Salama, Charles Wade Barkley na BarrthabeetSalama J_
Barrthabeet, Dully Boy na Salama mitaa fulani hivi.
Salama na Familia ya Mcheza kikapu Hasheem Thabeet
salama akiwa na familia ya Hasheem Thabeet kwenye hafla ya kumpongeza dada wa Hasheem ‘Sasha Thabeet’  kwa kuhitimu masomo yake .

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages