Jiwe kubwa Likiwa limeanguka toka mlimani na kuziba Barabara ya Vuga Kutoka Mombo kuelekea korogwe na Lushoto
Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo Vuga kwa takribani Masaa sita
Kwa juu ni mlima ambapo jiwe hilo liling'oka na kudondoka hatimaye kuziba barabara hiyo kwa takribani masaa sita
Abiria na madereva wakiwa wamekaa wakisubili mamlaka zinazohusikka wafike ili kutoa msaada wapate kuendelea na safari.
Vyombo vya dola wakiwa wamefika eneo la tukio tayari kuweza kulisogeza jiwe hilo ili abiria na watumiaji wa barabara ya vuga kuendelea na shughuli zao
Hayo ni baadhi ya mawe ambayo yanaonekana kwa juu ya barabara ya vuga inayounganisha kutoka mombo kuelekea lushoto.
Hali ya usafiri kutoka
mombo-korogwe kuelekea wilaya ya Lushoto mkoani tanga ilikuwa tete baada ya
jiwe kubwa kuangua barabarani katika eneo la vuga road.Jiwe hilo lilisababisha wasafiri wa barabara hiyo kukwama kwa takribani masaa 6 bila magari kupita.Lakini hatimaye baadae vyombo vya usalama wakishirikiana na wanainchi waliweza kulitoa na hatimaye usafiri wa njia hiyo kurejea katika hali yake ya kawaida.
Your Ad Spot
May 10, 2014
Home
Unlabelled
USAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI MASAA SITA,NI KUTOKANA NA JIWE KUBWA KUANGUKA NA KUZIBA BARABARA
USAFIRI WA MOMBO-KOROGWE KUELEKEA WILAYA YA LUSHOTO WAKWAMA KWA TAKRIBANI MASAA SITA,NI KUTOKANA NA JIWE KUBWA KUANGUKA NA KUZIBA BARABARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269