Breaking News

Your Ad Spot

May 25, 2014

USIKU WA MANGWEA MOROGORO, KIMENUKA (love concert

  Kuelekea maadhimisho ya Tamasha maalum la kumkumbuka mfalme wa FREE STYLE Tanzania Marehemu Albert Mangwe,  baadhi ya maeneo ya Mjini Morogoro tayari kishanuka. Katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika siku ya TH 28 may pale Samaki samaki Kihonda.

 Akizungumza na mtupa taarifa hizi, Mratibu mtendaji wa tamasha hilo Kareeem Omary KO amesema, maandalizi yameshakamilika na wanawaomba wadau kujitokeza kuonesha LOVE ya pamoja.

  Kareeamesema walizungumza na familia na kwa pamoja wamebariki tukio hilo ambalo kabla ya ukumbini, litatanguliwa na ibada mbili ya Kanisani na nyumbani.

 Baadhi ya wadau wa burudani mkoani Morogoro wamezungumza na kuunga  mkono tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages