
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, akijibu hoja za wabunge
waliochangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa
fedha 2014/15 bungeni Dodoma, jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
---
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe jana usiku alikuwa
katika wakati mgumu wakati Bunge lilipoketi kama Kamati ya Matumizi,
kiasi cha kutishia bajeti ya wizara yake kukwama.
Hata hivyo, Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2014/15 yalipitishwa.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269