Breaking News

Your Ad Spot

May 22, 2014

ZOEZI LA UPULIZIAJI DAWA ZA KUANGAMIZA MBU ANAYEAMBUKIZA DENGU KATIKA MABASI YA MIKOANI LAENDELEA

Mabasi yakijiandaa kuondoka katika  Kituo cha Mabasi cha Ubungo baada ya kupulizia dawa ya kumuangamiza mmbu anayeambukiza ugonjwa wa Denguikiwa ni utekelezaji wa   Agizo la Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya Ugonjwa wa Dende jijini Dar es Salaam

Afisa Afya wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo ,Richard Katiti (kulia)akingia katika basi kwa ajili  Upigajidawa katika basi ikiwa ni utekerezaji wa  Agizo la Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya Ugonjwa wa Dende jijini Dar es Salaam

Afisa Afya wa Kituo cha Mabasi cha Ubungo ,Richard Katiti akisimamia Upigajidawa katika basi ikiwa ni utekerezaji wa  Agizo la Mkuu wa mkoa kwa la kupulizia dawa kwa ajili ya Taadhari ya Ugonjwa wa Dende jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages