Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikagua josho, kwa mfugaji wa Kijiji cha Orkirung'rung, wilayani Simanjoro mkoa wa Manyara jana. Pamoja naye ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Simanjiro, Brown Ole Suya wakati wa mapokezi kijiji cha Londerkes, Kata ya Kitwai Simanjiro. Kulia ni Ole Sendeka
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnaye akilakiwa na Ole Sendeka wakati wa mapokezi hayo
Sendeka akizungumza katika kijiji cha Kitwai A, Simanjiro alipowasili Kinana jana
Kinana akisalimia wananchi katika kijiji cha Kitwai A, Simanjiro. Kulia ni Christopher Ole Sendeka
Kinana kwenye ofisi ya CCM Simanjiro
Kinana akizungumza na Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Simanjiro, jana
Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Alkesnet wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara, janaSalim Kiula (kulia) aliyekuwa Katibu wa Chadema Kata ya Lobosoit, Wilayani Simanjoro mkoani Mwnayara akikadhi kadi ya chama hicho kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdultrahman Kinana, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo, jana. Picha zote na Bashir Nkoromo









No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269