
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa saba kutoka kushoto) akiwa katika
mazungumzo na mabalozi na wawakilishi wan chi washirika wa maendeleo
katika mkutano
aliowaandalia Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel
jijini
Dar es salaam kuzungumzia michango
katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa
kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa
(BRN)

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya mkutano
aliowaandalia Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini
Dar es salaam kuzungumzia michango
katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa
kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa
(BRN).Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269