Breaking News

Your Ad Spot

Jun 2, 2014

MEYA WA ILALA NA NJUMBE WA NEC ,JERRY SLAA ASIMIKA MAKAMANDA WA VIJANA KAWE.


Meya wa Ilala na Mjumbe NEC wa CCM,Jerry Slaa hajazungumza na wakazi wa kawe baada ya kufungua tawi la wakereketwa la washashi kawe ukwamani na badae kuwasimika makamanda wa Vijana

Jerry Slaa akisalimiana na mjumbe wa chama cha mapinduzi Halid

Jerry Slaa akiwa ameongozana na viongozi wandamizi wa Chama cha Mapinduzi Kawe, Machage(kulia) na mwenyekiti wa Vijana kata ya Kawe, Da.Lilian Mkotani na Said Herry aka Mbuguzi

Mlaponi akiunguruma na kuwapasha ukawa kama mke aliyetoka kwa mume

Katibu wa vijana wa ccm  Kawe Aisha Katundu akiwataka vijana wa Kawe kulirudisha jimbo lao mikononi mwa ccm walilomwazima kwa muda Mbunge wa Halima Mdee.

Mwenyekiti wa Vijana Kata ya Kawe Lilian Mkotani akiwataka wakazi wa Kawe wasipepese macho mwakani wakati wa uchaguzi

Jerry Slaa akimsimika Joe Anea Joseph kuwa kamanda wa vijana Tawi la Kawe Kilimahewa



No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages