Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein akitoa salamu za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla,pia aliwatakia mfungo
mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya ibada mbali
mbali.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.].
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269