Breaking News

Your Ad Spot

Jun 23, 2014

Taarifa ya Habari Kutoka ITV:Wakazi wa Tabata Kinyerezi wamekosa mawasiliano na maeneo mengine ya jiji baada ya lori lililobeba tani arobaini kutumbukia kwenye daraja la Segerea lenye uwezo wa kupitisha tani saba .


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages