Breaking News

Your Ad Spot

Jul 16, 2014

ANUARY MKAMA WA RADIO MLIMANI, TANZANIA NA AMIDA ISSA KUTOKA BURUNDI, WAAGWA BAADA YA KUMALIZA MAFUNZO KWA VITENDO DW BONN, UJERUMANI

 Anuary Mkama kutoka Radio Mlimani nchini Tanzania na mwenzake Amida Issa kutoka Burundi leo wameagwa rasmi na kituo cha DW mjini Bonn, Ujerumani, baada ya kumaliza mafunzo utangazaji kwa vitendo yaliyodumu katika kipindi cha miezi sita. Wote wawili sasa wanajiandaa kurejea katika nchi zao kwenda kutuma ujuzi waliouvuna kutoka DW Bonn, Pichani, Wafanyakazi wa DW baada ya hafla fupi ya kuwaaga watangazaji Anuary Mkana kutoka Tanzania na Amida Issa kutoka Burundi.
 Anuary Mkama akikabidhiwa na Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman baada ya kupata mafunzo ya utangazaji kwa vitendo kwa miezi sita.
Kutoka kushoto Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili, Mohammed Abdulrahman, Amida Issa, mtangazaji mkongwe Sekione Kitojo na Anuary Mkama

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages