Breaking News

Your Ad Spot

Jul 16, 2014

KAMATI KUU YA CCM ILIYOKUTANA LEO YAMTEUA MANGULA, ADAM KIMBISA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogoya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, kuhusu baadhi ya yaliyojiri katika kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete. ambapo amesema, baadhi ya yaliyojiri hayo, ni Kamati Kuu hiyo kumteua, Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM kwa ajili ya Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa na  pia Kamati hiyo Kuu kumteua, mbunge wa Afrika Mashariki,  Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media.
 IFUATAYO NI TAARIFA KAMAILI KAMA ILIVYOWASILISHWA NA NAPE KWA WAANDISHI WA HABARII

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages