Waziri wa Ardhi na Makazi Profesa Anna Tibaijuka, akitoa mchango wake katika Mada ya Ushirikiano wa Vijana katika vyama vya Siasa Kimataifa wakati wa Kongamano la Tathmini ya Miaka 13 ya Utekelezaji wa Sera Mpya ya Mambo ya Nje -Diplomasia ya Uchumi , Mafanikio na Changamoto lililofanyika kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, leo Julai 5.2014.
Mwakilishi wa Mgeni Mwalikwa Balozi Joseph Sokoine, akizungumza kwenye Kongamano hilo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Tawi la Chuo cha Diplomasia Dk.Telephory Kyaruzi. Balozi Joseph Sokoine alimwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe.
Wadau wakifuatilia kwa makini michango ya Mada zilizokuwa zinazotolewa wakati wa Kongamano hilo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Madabida, akizungumzia suala la kukuza na kuendeleza Umoja wa Afrika na kukuza Umoja wa Kiuchumi ikiwa pamoja na kuunga mkono sera ya kutofungamana na upande wowote na kuwataka Vijana wasomi kusimamia na kuchangia maoni yao katika upatikanaji wa Itikadi ya nchi.
Askofu Isaya Joseph (kushoto) akifuatilia kwa makini Mada mbali mbali wakati wa Kongamano hilo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia waliohudhuria.
Baadhi ya Wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini.
Mwenyekiti wa CCM Tawi la Chuo cha Diplomasia Dk Telephory Kyaruzi akiagana na Balozi Joseph Sokoine kwenye Viwanja vya Karimjee mara baada ya kumalizika kwa Kongamano hilo.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269