Rais Jakaya Kikwete, akisaini kitabu cha wageni, huku akipatiwa maelezo na Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonhyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa.
Rais
Jakaya Kikwete ekiendelea kupatiwa maelezo na
Meneja Mawasiliano, Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF,
Costantina Martin, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye Maonyesho ya
38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya
Mwalimu Nyerere, Barabara ya Kilwa.


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269