Breaking News

Your Ad Spot

Jul 11, 2014

LOWASSA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI HOSPITALI YA MONDULI

Mbunge wa Monduli, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akipata maelezo kutoka kwa mhandisi msaidizi Paul Kisesa wakati alipokwenda ghafla leo kukagua ujenzi wa hospitali ya kisasa wilayani Monduli. Lowassa ameelezea kutoridhishwa na kasi ndogo ya ujenzi wa hospitali hiyo ambayo itanatarajiwa kuwa na vifaa vya kisasa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages