Breaking News

Your Ad Spot

Jul 18, 2014

MANGULA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CAPP JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akimkaribisha Katibu Mkuu wa chama  cha CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan kwenye ofisi Ndogo za CCM Lumumba, Dar es Salaam, leo, Julai 18, 2014..
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam,Julai 18,2014.
 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akiagana na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan
Makamu Mwenyekiti wa CCM(Bara) Ndugu Philip Mangula akiagana na Balozi wa Sudani nchini Tanzania Dk.Yassir Mohamed Ali nje ya Ofisi Ndogo za CCM Lumumba ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) alikuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa CAPP Dk. Nafie Ali Nafie kutoka Khartoum Sudan.(Picha na Adam Mzee wa CCM Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages