| Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Katibu Mkuu, Kiongozi, Balozi
Seif Sefue (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa
(BRN), Dr. Omari Issa baada ya kufungua mkutano wa Mawaziri na Makatibu
Wakuu kuhusu BRN kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam
Julai 24, 2014. |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269