Kadhi
Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi
Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini
ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama
kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya
Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Jk4:
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi wa madhehebu
mbalimbali wa dini ya Kiislamu kwa kuhudhuria katika furari
aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu
ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini
Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa
dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam
jioni ya Julai 16, 2014.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269