Breaking News

Your Ad Spot

Jul 19, 2014

WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM NA JUMUIA ZAKE NGAZI ZA KATA JIMBO LA TEMEKE WATUNUKIWA VYETI BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO YA KUWAENGEA UWEZO

 Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida (kushoto) akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa UWT CCM Jimbo la Temeke, Khadija Ngwele baada ya kuwa miongozi mwa viongozi wa CCM Wilaya ya Temeke waliofuzu mafunzo ya uongozi wa chama katika semina ya siku mbili iliyoalizika jana. Semina hiyo iliandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu.
 Baadhi viongozi walioshiriki semina hiyo wakipiga makofi wakati wa kukabidhiwa vyeti
 Katibu wa Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akihutubia na kukeme kitendo cha baadhi ya viongozi wa juu wa CCM wa wilaya hiyo kukwepa kushiriki semina hiyo.
 Baadhi ya viongozi walikuwepo wakati wa kufunga semina hiyo, isipokuwa Mwenyekiti na Katibu wa CCM wa wilaya hiyo hawakuwepo.








Picha zote na Kamanda wa Matukio Blog

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages