Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana
na baadhi ya viongozi wa Chuo cha Nelson
Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua Kongamano la
Kimataifa la siku tatu kuhusu ukuzaji na uendelezaji wa Tafiti za Kisayansi kwa
nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la sahara. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mwanafunzi wa mwaka
wa pili katika Chuo cha Nelson Mandela, Bernard Mussa, aliyetafiti kuhusu
kuongeza joto katika Majiko kwa kutumia mwanga wa jua, wakati Dkt. Bilal
alipofika chuoni hapo kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kimataifa la siku tatu
lenye lengo la kujenga nguvu ya pamoja katika ukuzaji na uendelezaji wa Tafiti
za Kisayansi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la sahara. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa mradi wa
Masai Stove’s & Solar, Kisioki Moitiko aliyetafiti kuhusu mzunguko wau meme
wa Jua kutumika katika nyumba za kabila la kimasai (Maboma) wakati Dkt. Bilal
alipofika chuoni hapo kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kimataifa la siku tatu
lenye lengo la kujenga nguvu ya pamoja katika ukuzaji na uendelezaji wa Tafiti
za Kisayansi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la sahara. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Hassna Founoune,
kutoka Taasisi ya Tafiti ya Kilimo ya Senegal, wakati Dkt. Bilal alipofika
chuoni hapo kwa ajili ya kufungua Kongamano la Kimataifa la siku tatu lenye
lengo la kujenga nguvu ya pamoja katika ukuzaji na uendelezaji wa Tafiti za
Kisayansi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la sahara. Picha na OMR
Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyeshwa jambo katika Screen na Makamu
Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela, Prof. Bulton Mwamila, wakati wakiangalia
mjadala uliokuwa ukiendelea kupitia ‘Video Conference’ kati ya Marekani na
Tanzania, kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la siku tatu kuhusu ukuzaji
na uendelezaji wa Tafiti za Kisayansi kwa nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la
sahara. Picha na OMR
Makamu wa Rais Dkt. Bilal katika picha ya pamoja na washiriki wa
kongamano hilo, baada ya ufunguzi. Read more »
Your Ad Spot
Aug 6, 2014
Home
Unlabelled
DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI ZA AFRIKA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, JIJINI ARUSHA.
DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI ZA AFRIKA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA, JIJINI ARUSHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269