Mwigulu
Nchemba akizungumza na Kondakta wa gali lililopata ajali mara baada ya kumnasua kwenye roli hilo.Kijana anaonekana kuugulia maumivu makali
kwenye mkono.Mwigulu
Nchemba akiangalia sehemu aliyokuwa amebanwa kondakta wakati roli hilo
likianguka na baadae kuinuka kutokana na kugonga Ukuta pembezoni mwa
Barabara ya Iringa-Morogoro.Mh:Mwigulu Nchemba akitoka huduma ya Kwanza kwa Majeruhi wa ajali hiyo.Huyu ni Dreva akijaribu kuwasha Gari hilo.Mh:Mwigulu Nchemba akiendelea kutoa huduma ya kwanza kwa Majeruhi kabla ya kumkimbiza kwenda hospitali ya WIlaya ya Mikumi. MAELEZO NA PICHA NA FESTO SANGA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269