Breaking News

Your Ad Spot

Aug 3, 2014

PINDA AFUGUA MAONYESHO YA NANENANE MBEYA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikata utepe kufungua maonyesho ya Wakulima  Nanenane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini  kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya August 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Muuza kofia maarufu katika jiji la Mbeta Maria Julius akiuza kofia katika Maonyesho ya Wakulima Nanenane yaliyofunguliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya August 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages