Breaking News

Your Ad Spot

Sep 3, 2014

ASKOFU MKUU MSAIDIZI WA JIMBO KATOLIKI MKOA WA BUKOBA, DK.METHOD KILAINI AZUNGUMZA NA DAKTARI BINGWA WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI KUTOKA BANGAROLE INDIA, PROFESA ATHONY PAIS KUHUSU MCHAKATO WA UJENZI WA KITUO CHA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI MKOANI HUMO

 Baba Askofu Dk. Method Kilaini akizungumza na 
daktari huyo na ujumbe wake (haupo pichani).
 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (wa tatu kushoto), akizungumza na baba Askofu Method Kilaini (wa pili kulia), wakati akimtambulisha Profesa Pais. Wengine kutoka kushoto ni Wakala wa Kampuni ya Mabibo Wines and Spirits Limited Mkoa wa Kagera, Rahym Kabyemela,  Wakili wa Kampuni ya Mabibo, Respicius Didace, Dk. Father Felix Kamugisha wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Mkuu wa Utawala wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Josue Joseph, Mkuu wa Masister wa Convent ya Rumuli, Rosemary Diocles, Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Sister Pudentiana Kirungo, Profesa Pais na Dk.Fred Limbanga. Profesa Pais yupo nchini kwa mualiko wa James Rugemalira.
Hapa Kikao kinaendelea.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea, James Rugemalira (katikati) akizungumza na baba Askofu Method Kilaini. Kulia ni Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Pudentiana Kirungo na Profesa Pais.
Masister wa shirika hilo wakiwa kwenye mkutano huo. Kulia ni Sister Rosemary Diocles na Pudentiana Kirungo.
Mkuu wa Shirika la Masister wa Mtakatifu Theresia wa Mtoto wa Yesu Jimbo Katoliki Bukoba, Sister Pudentiana Kirungo (katikati), akizungumza katika mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Kelping mkoani humo. Kulia ni Mkuu wa Convent ya Rumuli, Sister Rosemary Diocles na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea James Rugemalira.(Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0786858550)
Profesa Pais (wa tatu kulia), akizungumza katika mkutano huo kuhusu ugonjwa wa saratani ya matiti na jinsi ya kukabiliana nao.
Madereva wa msafara huo wakiwa kwenye mkutano huo. Kushoto ni Khalid na Hassan Matunga.
Dk. Father, Felix Kamugisha wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, akijitambulisha katika mkutano huo.
Mkuu wa Utawala wa Hospitali ya Misheni ya Kagondo, Josue Joseph, akijitambulisha katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages