RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA MARAIS
Wajumbe wa Mkutano
wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa na Maafisa wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar wakifuatilia kwa makini michango inayotolewa
katika mkutano huo unaoendelea huko Nchini Samoa katika ukumbi wa jengo
mkutano huo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Baadhi ya Waandishi wa habari kutoka nchi mbali mbali zilizoshiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa wakichukua taarifa zilizotolewa na michango kiatika mkutano huo unaoendelea katika jengo ya Ukumbi wa Apia nchini Samoa, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Waziri wa nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Bibi Fatma Fereji akiwa mwenyekiti katika sehemu moja ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa unaoendelea
katika jengo ya Ukumbi wa Apia nchini Samoa,(kulia) Kaimu Sekretary
(UN) Bibi Erner Herity na (kushoto)Marrio Barthelemy Mkurugenzi wa
Uchumi na Mambo ya Kijamii,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Wajumbe
wa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Nchi za Visiwa wakiwa katika ukumbi
wa jengo la Apia wakati michango mbali mbali ikitolea jana na Vingozi
wa Nchi zilizoshiriki mkutano huo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais
wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akisalimiana na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
walipokutana kwa mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano
wa Nchi za Visiwa ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa
Mikutano wa Apia,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Serikali ya Visiwa vya Comoro Ikililou Dhoinine akizungumza na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
walipokutana jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa
ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Rais wa Seychels James Michel walipokutana kwa
mazungumzo jana wakati vikao mbali mbali vya Mkutano wa Nchi za Visiwa
ukiendelea katika Mji wa Samoa katika ukumbi wa Mikutano wa Apia,[Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269