Breaking News

Your Ad Spot

Sep 26, 2014

KINANA ASHIRIKI KILIMO CHA UMWAGILIAJI, KWAMDOLWA, KOROGWE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia powertiler kulima shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya ya  Korogwe Mjini, mkoani Tanga jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitumia powertiler kulima shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na kuhimiza utekelezaji wa ilani ya CCM katika wilaya ya  Korogwe Mjini, mkoani Tanga jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Mjumbe wa NEC wa CCM, Dk. Edmund  Mndolwa (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana eneo la Soko la Sabasaba waliposhiriki usafi wa eneo hilo mjini Korogwe.
 Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Nasir Abdul
 Kinana akishiriki kufanya usafi katika soko la Sabasaba mjini Korogwe
Wana CCM wakishiriki kufanya usafi katika Soko la Sabasaba Mjini Korogwe
 Kinana na Nape wakitoka kushiriki ujenzi wa jengo la CCM Kata ya Kwamsisi
 kINANA AKIANGALIA Skimu ya umwagiliaji ya mashamba ya Mahenge, Kata ya Kwamdolwa Korogwe Mjini. Shamba hilo lina ukubwa wa heka 360 na linategemewa na zaidi ya watu 500
 Nape akishiriki ujenzi wa Zahanati ya Kwamdolwa Korogwe Mjini
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Korogwe, Idd Kipingu
 Watoto wakiparamia mti kutaka kumuona Kinana wakati akihutubia katika Kata ya Kwamdolwa
 Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la maabara katika Shule ya Sekondari ya Old Korogwe
 Kinana akuhutubia mkutano wa hadhara Korogwe Mjini
 Diwani Robert Wiliam wa Kata ya Manundu, akijibu moja ya maswali ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara.
 Mmoja wa wananchi akiuliza swali mbele ya Kinana kuhusu gharama kubwa ya matibabu wilayani humo
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo akijibu moja ya maswali ya wananchi wakati wa mkutano huo
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifanya usafi katika Soko la Sabasaba mji

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages