Breaking News

Your Ad Spot

Sep 25, 2014

VIDEO: KINANA ASHIRIKI KAZI ZA KILIMO CHA MPUNGA KORONGWE LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akishiriki kuchanyata kwa Power tiller kwa ajili ya upandaji miche ya mpunga kwenye vijaruba vya kilimo cha zao hilo cha Umwagiliaji vilivyopo katika kijiji cha Mahenge,Kwamndolwa wilayani Korogwe mkoani Tanga leo. HABARI/VIDEO NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages