Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Dr Mwaka (kulia), Dauda wakimkabidhi mwakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup jezi.
Mdhamini Mkuu wa michuano ya Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup ,Dr Mwaka akifafanua jambo mbele ya wanahabari kuhusiana na michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa Waratibu wa Mwaka Sports Extar Ndondo Cup Alex Luambano kutoka Clouds FM (aliyesimama) akiwatambulisha baadhi ya waratibu,wasiamizi na Wadhamini wa Dr Mwaka Sports Extar Ndondo Cup inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup kutoka Clouds FM, Shafih Dauda akielezea ushiriki wa michuano hiyo kwenye Ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269