Breaking News

Your Ad Spot

Sep 13, 2014

MSIKITI WA MTAMBANI WAUNGUA TENA

 Wananchi wakiwa nje ya Msikiti wa Mtambani uliopo Kinondoni wakishuhudia tukio la kuungua moto kwa mara ya pili msikiti huo Dar es Salaam leo.
 Waumini wa msikiti huo pamoja na wananchi wakisaidia kuvuta mpira wa maji kwa ajili ya kuzima moto huo.
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wakiimarisha ulinzi eneo la tukio.
 Askari wa Kikosi cha Uokoaji wakifunga mpira wa maji baada ya kuudhibiti moto huo.

 Wananchi wakiangalia madawati na vyombo vingine vilivyookolewa katika tukio hilo.
 Heka heka za uzimaji moto zikiendelea. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
 Waokoaji wakiwa wamebeba zuria wakiingiza ndani ya msikiti huo baada ya kuzimwa  moto.
 Waokoaji wakiwa wamebeba zuria wakiingiza ndani ya msikiti huo baada ya kuzimwa  moto.
Mmoja wa waumini wa msikiti huo akilia 
baada ya kutokea kwa ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages