Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifungua mkutano wa wadau wa mifugo kwenye ukumbi
wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza Septemba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Magu, Jacqueline
Liana (kushoto) baada ya kufungua mkutano wa wadau wa sekta ya mifugo
kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika jijini Mwanza, Septemba 5, 2014.
Kulia ni mfugaji na Mkulima kutoka Kiteto. Papian Emmanuel. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Kaimu Mkuu wa Mwanza na Mkuu wa Mkoa wa
Simiyu, Paschal Mabiti kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza baada ya
kufungua mkutano wa wadau wa mifugo kwenye ukumbi wa hoteli ya Malaika
jijini Mwanza, Septemba 5, 2014. Wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa
Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269