Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akifafanua jambo
mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa
ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne.
Mkuu wa
Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya Vyombo
vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa ajali hiyo
iliyopelekea vifo vya watu wanne.
Baadhi ya
Watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya
Kipunguni B Moshi Bar, Ilala jijini Dar es Salaam.GPL(P.T) Read more...
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269