Hii ndiyo barua iliyoandikwa na zito kwa ajili ya kukopa fedha hizo
za Escrow kumpeleka mama yake india kutibiwa. Barua hii iliyo na
vithibitisho kadhaa pamoja na kopi ya leseni ya aliyetumwa iliwasilishwa
na Mbunge Lusinde Bungeni na kusomwa kisha kuikabidhi meza kuu kwa
ajili ya kufanyiwa kazi.
Lusinde akichangia wakati wa mjadala huo ukiendelea Bungeni jana
jioni huku akionyesha barua hiyo inayomhusisha Zito katika kashfa hiyo.
Mbunge Kafulila, akichangia kujaribu kuthibitisha ukweli wa sakata hilo.
Kafulila akiendelea kumwaga nondo.
Mbunge, Joshua Nassari, akisimama kuomba mwongozo, jambo lililomfanya
mwenyekiti wa kikao hicho, Zungu kuingilia kati na kupiga marufuku
wabunge kuomba mwongozo wakati mmoja wao akiendelea kuchangia, kutokana
na kuchelewesha muda.
Sehemu ya wabunge waliohudhuria kikao hicho cha jana jioni.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269