Breaking News

Your Ad Spot

Nov 16, 2014

KINANA AFANYA KWELI KILWA KASKAZINI


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Chumo, wilayai Kilwa, Mkoa wa Lindi, ambapo aliwataka wananchi ifikapo Novemba 14 wakati wa Uchaguzi wa Srikali za Mitaa, waichague CCM kwani ndiyo yenye safu nzuru ya uongozi yenye kuwaletea maendeleo,tofauti na vyama vya upinzani alivyodai lengo lake ni kutukana,kuleta vurugu pamoja na chuki.PICHA ZOTE N KAMANDA RCHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MTUKIO BLOG



 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye,akihutubia katika mkutano wa hadhara ktika Kijiji cha Chumo, Jimbo la Uchaguzi la  la Kilwa Kaskazini.

 Kinana aisaidia kujenga jingo la Ofisi ya Serikali ya Kijiji cha Tingi, wilayani Kilwa leo

 Kinana akiteremk baada ya kusaidia ujenzi wa jingo hilo

 Moja ya msafara wa Kinana likipita kwenye mja milima  katik Kijiji cha Chumo wilayani Kilwa

 Mmoja wa akina mama akishangilia wkai wa mapokezi katika Kijiji cha Chumo

 Mjumbe wa NEC wa Taifa, Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akihutubia wakati wa ujenzi w Jengo la Ofisi za Jimbo la Kilwa Kaskazini katika Kijiji cha Chumo

                         Kinana akisaidia ujenzi wa jingo la Ofisi ya Jimbo la Kilwa Kaskazini

 Wananchi wakishangilia wakati Kinaa akiwasili kwenye mkutao wa hadhara katika Kijiji cha Chumo, Kilwa.



 Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Lindi, Ali Mtopa akihuubia kabla ya kumkaribisha Kinana kuhutubia

 Mmoja wa wafuasi wa CCM akiwa na kipeperushi cha picha ya Kinana katika utano huo

 Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kaskazini, Multaza Mangungu akihutubia katika mkutano huo ambapo aliahidi kukabidhi magari matatu ya ubebea wagonjwa na huduma za afya kwa wanachi wa jimbo hilo

 Baadhi ya wananchi isikiliza kwa makini hotuba ya Kinana



Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama  alikihama chama cha CUF wakati wa mkutanohuo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages