Mwigulu Nchemba akiwasili Uwanja wa MKutano Geita mjini.Mapokezi ya Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba yakiendelea kwa shamrashamra za kutosha.Hisia za Wananchi kwa Mwigulu Nchemba ambaye katika Bango moja wapo anasomeka kama SOKOINE WA PILI NCHINI TANZANIA.Sehemu ndogo tu ya Maelfu ya Wananchi waliofika Kumsikiliza mh:Mwigulu Nchemba.Kueleka 2015 haikukosa,Hizi ni hisia za Wananchi wanaokoshwa na Uchapakazi wa Mwigulu NchembaMwigulu akikaribishwa Geita kwa Mabango.Kiongozi
wa ACT Kanda ya Ziwa(Mratibu) akitoa shukrani zake za dhati kwa Mwigulu
Nchemba kwa namna alivyokuwa mfano kwa kutetea Masikini na Wanyonge
ndani ya BUnge na Nje ya Bunge.Mkuu wa Mkoa wa Geita akisalimia wananchi (Mwanamama)Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Geita Ndugu Msukuma akizungumza na Wananchi wake kuhusu
Kero mbalimbali zinazowakumba ndani ya Mkoa wa Geita,Kubwa likiwa Wazawa
kutopewa kipaumbele kwenye Madini,Pia unyanyasaji kwa Wachimbaji
wadogo.Comrade Mwigulu Nchemba wakiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita wakati wa Mkutano hii leo.Comrade
Mwigulu Nchemba mbaye ni Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionesha Ishara ya
Dole "Mambo Poa" wakati akiwasalimia wananchi wa geita hii leo.Tanzania Oyeeeeee,Hiyo ndio salamu ya Mwigulu Nchemba mara zote apandapo Jukwaani kuzungumza na Wananchi."Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hatu
jazi nafasi,Tunatafuta Viongozi wenye uwezo wa kusimamia Halmashauri
zetu za Vijiji,Mitaana Vitongozi ili ziweze kufanya kazi za Maendeleo
kwa Uadilifu na Ufanisi wa hali ya Kuridhisha"Hii
ni sehemu tu ya Maelfu ya Wananchi wa Geita waliofika Kusikiliza Ujumbe
wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mwigulu Nchemba,Kuhusu Uchaguzi wa
Serikali za Mitaa na Kero za Wananchi wa Geita.Mwigulu
Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuchagua wagombea wa Chama cha Mapinduzi
kwasababu ndio wenye sera inayotekelezwa,Hivyo wanajua mahitaji ya
Wananchi wao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269