Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2015

BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILIIONS AENDELEA KUMWAGA PESA KWA WASHINDI

Balozi wa Promosheni ya JayMillions aendelea kumwaga pesa kwa washindi

Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 1/-mshindi kupitia  promosheni hiyo Claudia Mapunda(kulia) katika hafla fupi  iliyofanyika  Mlimani City  jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’akisalimiana na wateja wa Vodacom Tanzania walifika kupata huduma mbalimbali katika  duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumkabidhi kitita cha shilingi milioni 1  mmoja wa washindi wa Promosheni hiyo Claudia Mapunda(hayupo pichani)
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 1/= kupitia  promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Bi. Claudia Mapunda (kulia) akifurahia kwa kuonesha kitita chake cha fedha alizoshinda baada ya kukabidhiwa na Balozi wa promosheni hiyo Hillary Daud ‘Zembwela’(kusho) anaeshuhudia  katikati ni mpambe wa Balozi huyo Maria John.Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika  Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Balozi wa promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hillary Daud ‘Zembwela’na Claudia Mapunda(kulia)ambaye aliibuka mshindi wa kitita cha shilingi milioni 1/-kupitia promosheni hiyo wakihesabu fesha hizo kabla ya Balozi huyo kumkabidhi rasmi kitita chake katika hafla iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili mteja kujua kama  ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages