Breaking News

Your Ad Spot

Feb 22, 2015

DK, KAWAMBWA AZINDUA JENGO LA JIPYA LA MITIHANI YA NACT

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa  (kushoto), akimsikiliza kwa makini  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE), Dkt. Primus Nkwela  wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa mgeni rasmi kwenye  hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela ( aliyesimama) akifafanua jambo mgeni rasmi Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) wakati hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam,mwishoni mwa wiki.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Consolata Mgimba. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba  na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi  Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba  na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi  Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Consolata Mgimba wakizinduzi jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)  uzinduzi huo ulifanyika  makao makuu ya NACTE Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Katibu Mkuu waWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi   Sifuni Mchome akinongonezwa jambo na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela  wakati  wa hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani uliofanyika makao makuu ya ofisi hizo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) na  Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi,  Mhandisi Steven Mlote wakimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa akisoma lisala wakati  wa hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)  uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Katibu Mtendaji  wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)  Dkt.Primus Nkwela, akisikilizwa jambo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi   Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) na wadau wengine  wa elimu wakati alipokuwa akielezea jinsi walivyofanikiwa kujenga jengo hilo jengo hilo wakati wa uzinduzi wa jengo hilo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)  uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati) akimshukuru Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi,  Mhandisi Steven Mlote  baada ya kumkabidhi zawadi  katika  hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE)  uliofanyika Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt. Primus Nkwela. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa akionesha cheti halali cha matumizi ya jengo jipya alilolizindua la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) lililopo makao makuu ya Baraza hilo Mikocheni B  jijini Dar es Salaam. Wakishuhudia kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt.Primus Nkwela na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi,  Mhandisi Steven Mlote. 
Katibu Mkuu waWizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (kulia) akisikilizwa kwa makini na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi  Dkt. Shukuru Kawambwa  (kushoto ) na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (katikati)alipokuwa akifafanulia jambo wakati wa  hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo  Mikocheni B jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages