Breaking News

Your Ad Spot

Feb 21, 2015

DK.ALI MOHAMED SHEIN ASHIRIKI MAZIKO YA MREHEMU SALMIN AWADH

4
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipofika kutoa pole Nyumbani kwa Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Magomeni Mjini Unguja leo,
1
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipofika kutoa pole kwa kizuka wa   Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM)  nyumbani kwakeMagomeni Mjini Unguja leo.
3
Wananchi kutoka sehemu mbali mbali walijumuika pamoja katika maziko ya Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM)  nyumbani kwake Magomeni Mjini Unguja leo na kuzikwa kijijini kwao Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguja,[Picha na Ikulu
5
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) pamoja na Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na Viongozi wengine walipofika kutoa pole kwa wafiwa Nyumbani kwa Marehemu Salmin Awadhaliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Magomeni Mjini Unguja leo.
6
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) pamoja Viongozi mbali mbali walijumika pamoja katika kumswalia Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) katika masjid Nuru Muhammad Mendae Mjini Unguja leo Swala iliyoongozwa Kadhi Mkuu na Sheikh Khamis Haji na kuzikwa kijijini kwao Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguuja.
7
Wananchi kutoka sehemu mbali mbali Bara na Visiwani wakilibeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Salmin Awadh aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) wakati wa maziko yaliyofanyika leo Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguja
8
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kushoto) pamoja Viongozi mbali mbali walijumika na Wananchi katika mazishi ya aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Marehemu Salmin Awadh aliyezikwa kijijini kwao Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguja.
9
Wananchi kutoka sehemu mbali mbali wa Mjini na Mashamba walijumuika kwa pamoja katika maziko ya Marehemu Salmin Awadhaliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM)   yaliyofanyika leo Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguja.
10
Rais wa Zanzibar na Mwenmyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo wakati alipojumuika na Waislamu mbali mbali na Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakati  wa maziko ya aliyekuwa mwakilishi wa Jimbo la Magomeni (CCM) Marehemu Salmin Awadh  aliyezikwa kijijini kwao Makunduchi  Wilaya ya Kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages