Breaking News

Your Ad Spot

Feb 21, 2015

DR. FENELLA MUKANGARA AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO BAINA YA ESAMI KATIKA SEKTA YA MAENDELEO YA VIJANA

1
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Ushirikiano baina ya ESAMI NA Wizara ya, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika sekta ya Maendeleo ya Vijana.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.
3
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukanagara akifurahia jambo (katikati) akifurahia jambo mara baada ya uzinduzi wa mpango wa ushirikiano baina ya ESAMI NA Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katikasekta ya Maendeleo ya Vijana na kuwajengea uwezo watumishi wa Wizara hiyo.
6
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene akizungumza na Wanahabari kuhusu tatizo la ajira kwa vijana nchini.
5
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara watatu kutoka kulia aliyekaa akiwa katika picha ya pamoja na watumishi kutoka Taasisi ya ESAMI mara baada ya uzinduzi wa mpango wa ushirikiano baina ya Taasisi hizo mbili.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages