Baadhi ya maofisa wa Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya
video (Video Conference) kilichofanyika kwa kuunganisha mikoa ya Mtwara, Lindi,
Kilimanjaro na Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu (wa pili kutoka
kushoto), akiongoza kikao kazi kwa njia ya video (Video Conference)
kilichofanyika kati
ya Utumishi na mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro na Dodoma.
Maofisa wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakiwa katika kikao kazi kwa njia ya video
(Video Conference) kati ya Utumishi na mikoa ya Mtwara, Lindi, Kilimanjaro na
Dodoma. Uendeshaji wa vikao kwa njia ya mtandao umepunguza gharama na muda
uliokuwa unatumika kusafiri kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269