Breaking News

Your Ad Spot

Feb 26, 2015

MISS UNIVERSE NALE BONIFACE ATEMBELEA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) CHA SALVATION ARMY

1
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akikata
 keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati
alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha
 Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya
 siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi
 watoto hao.
2
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akiwalisha
 Keki na wanafunzi wenye matatizo ya Ngozi (ALBINO) wakati
 alipotembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha
 Salvatrion Arm jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya
 siku yake ya kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi
 watoto hao.
3
Miss Universe Tanzania 2014-2015 Nale Boniface akigawa
 madaftari kwa wanafunzi wenye mahitaji wakati alipotembelea
 kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji cha Salvatrion Arm
 jijini Dar es Salaam ikiwa ni madhimisho ya siku yake ya
 kuzaliwa ambapo aliamua kuwapelekea zawadi watoto hao.
4
Zawadi
6
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages