Breaking News

Your Ad Spot

Feb 20, 2015

VIONGOZI WAUWAGA MWILI WA MAREHEMU SALMIN AWADH SALMIN BARAZA LA WAWAKILISHI.

Waziri Mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Edward Lowasa akiingia katika ukumbi wa baraza la wawakilishi kuuwaga mwili wa aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Marehemu Salmin Awadh Salmin aliefariki ghafla jana. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar). SIMA2Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiingia katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  kuuwaga mwili wa Marehemu Salimn Awadh. SIMA3 
Naibu Katibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai  na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mahmoud Muhammed wakibadilisha mawazo kuhusu msiba huo. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar SIMA8Mamia ya wananchi waliohudhuria sala ya kumuombea Marehemu Salmin Awadh Salmin wakiutoa msikitini mwili wa marehemu kuelekea kijijini kwao Makunduchi kwa mazishi. SIMA9Msafara uliobeba mwili wa Marehemu Salmin ukiondoka Masjid Noor Muhammad (SAW) kuelekea Makunduchi kwa ajili ya mazishi.
(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages