Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2015

Zijue Mechi 10 ambazo Bayern Munich walishinda Magoli mengi Tangu miaka 10 iliopita

Bayern Munich 14022015

Bayern Munich inayoshiriki Ligi Kuu Ujerumani imemchapa, Hamburg mabao 8-0 siku ya jumamosi na kuendelea kuongoza ligi wakiwa nafasi yakwanza(Bundesliga). 
Ila "The Bavarians" kama wanavyoitwa wamekua wakitoa vichapo vya nguvu sana katika miaka iliopita, Leo nakuletea Mechi 10 ambazo Bayern Munich walitumbukiza magoli Mengi sana katika Miaka 10 iliyopita (2005 - 2015).

March 10 2009 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Bayern Munich 7 - 0 Sporting Lisbon


November 21 2014 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Roma 1- 7 Bayern Munich

April 17 2010 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Bayern Munich 7 - 0 Hannover 

September 10 2011 | Ligi Kuu (Bundesliga) Bayern Munich 7 - 0 Freiburg 

March 10 2012 | Ligi Kuu (Bundesliga) Bayern Munich 7 - 0 Hoffenham 

March 13 2012 | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Bayern Munich 7 - 0 Basel

December 7 2013 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Werder Bremen 0 - 7 Bayern Munich

May 7 2011 | Ligi Kuu (Bundesliga) | St. Pauli 1 - 8 Bayern Munich 
March 30 2013 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Bayern Munich 9 - 2 Hamburg 
 February 14 2015 | Ligi Kuu (Bundesliga) | Bayern Munich 8 - 0 Hamburg 

Tuachie Comment Yako 
kisha
Usisahau kutufollow ili habari  kama hizi zisikupite Pindi tu tatakapo ziweka.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages