Breaking News

Your Ad Spot

Mar 11, 2015

AJALI ILIYOTOKEA LEO MAENEO YA KAMATA BARABARA YA NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Wasamaria wema wakitoa msaada wa mwendesha baskeli baada ya  kugongwa mwendesha pikipiki  T 215 CQW. (PICHA ZOTE NA UJIJIRAHAA BLOG)
 Wasamaria wema wakisubiri gari   watoemsaada wa mwendesha baskeli baada ya  kugongwa  na mwendesha pikipiki  T 215 CQW .
 mwendesha pikipiki  T 215 CQW . akitokwa na damu nyingi mapuani baada ya kugongwa na gari ambalo halikupatikana mara moja
   Wasamaria wema wakitoa huduma ya kwanza kwa  mwendesha pikipiki  T 215 CQW . akitokwa na damu nyingi mapuani baada ya kugongwa na gari ambalo halikupatikana mara moja  namba za gari hilo,  nakusababisha kumgonga mwendesha baiskeli  na wote walikimbizwa hospitalini. japo mwendesha baiske ameibiwa baiskeli hiyo kwenye tukio hilo.
 Mwendesha pikipiki akisaidiwa kumpandisha  kwenye gari
 Askari walio fika eneo la tukio wakitoa msaada  na pikipiki ilio kulia niya mwendesha pikipiki huyo anayoiendesha askari
 Askari wa usalama barabarani anafika eneo la tukio , ambapo alikua amesimama jirani na  mataa
Wanacnhi wakitoa ushirikiano kwa kumpa maelezo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages