Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga
akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani) wakati wa kikao kazi
cha kawaida ambacho ufanyika kila baada ya miezi mitatuKikao hicho kimefanyika
jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Mwenyekiti
wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Magreth
Mtaki.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akisisitiza jambo kwa watumishi wa Wizara hiyo (hawapo pichani)
wakati wa kikao kazi cha kawaida kilichofanyika
jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel.
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel akafafanua jambo wakati
wa kikao cha Watumishi wa Wizara hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es
Salaam.Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga na kulia ni
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bibi. Magreth Mtaki.
Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga, Mwenyekiti wa TUGHE
Tawi la Wizara hiyo Bibi. Magreth Mtaki na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamduni na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel wakifuatilia mada
kuhusu bajeti ya Wizara iliyowasilishwa na Mkurugenzi Msaidizi wa Sera na
Mipango wa wizara hiyo Mwanzala Kayoka (hayupo pichani).
Mkurugenzi
Msaidizi wa Sera na Mipango wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bw. Mwanzala Kayoka akiwasilisha mada kuhussu uelekeo wa Bajeti ya Wizara hiyo
kwa mwaka wa fedha wa 2014/15 na 2015/16 wakati wa kikao kazi cha kawaida baina
ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na watumishi wote kilichofanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Mkuu wa
Kitengo cha Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi.
Ester Liwa akielezea jambo wakati wa kikao kazi cha kawaida baina ya Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo na watumishi wote kilichofanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Ofisa
Utamaduni kutoka Bodi ya Filamu Bib. Beatrice Sumari akielezea jambo wakati wa
kikao kazi cha kawaida baina ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na watumishi wote
kilichofanyika jana katika ukumbi wa
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika
kikao kazi kilichofanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Baadhi
ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa katika
kikao kazi kilichofanyika jana katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269