Raisi Mstaafu wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno akiongoza Mkutano huo akiwa Mc.
Raisi wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania Dr. Lorna Carneiro
(wapili kushoto) akifungua Mkutano huo , wakwanza kulia ni Mkuu wa
Idara ya Mpangilia wa Meno , Meno ya watoto na Afya ya Kinywa kwa Jamii
Dr. Emeria Mugonzibwa , anaye fatia ni Mkuu wa Shule ya Kinywa na
Meno dr. Elison Simon , na wakwanza kushoto ni Raisi Mteule (TDA) Ambege
Mwakatobe
Wanahabari na Wadau mbalimbali wa TDA |
Madaktari na mdau wa TDA aliyevaanguo ya Njano wa pili kushoto, anaye fanya kazi Fastjet Dar es Salaam.
Madaktari wawili katikati . na Wadau mbalimbali katika mkutano huo
Afisa
Masoko wa watengenezaji wa Dawa ya WhitedentYusufu Mkunza (kulia) ,
akijitambulisha na kumshukuru Rais wa Chama hicho kwa kuwaalika .
Afisa Mahusiano na Masoko Fastjet Dar es Salaam, Lucy Mbogoro (kushoto) akijitambulisha kwa chama cha Madaktari Tanzania
Afisa
Mahusiano na Masoko Fastjet Dar es Salaam, Lucy Mbogoro (kushoto)
akikabidhi Tiketi kwa Raisi wa chama cha Madaktari Tanzanzania kwa
Madaktari watakao kwenda Mwanza katika Shule ya Buhangija iliyo
Shinyanga .
Meneja Masoko na Mawasiliano Precision akijitambulisha katika Mkutano huo
mtaalamu wa Afya ya Jamii ya Afya ya kinywa Prof. Emil Kikwilu (kulia) akijibu maswali kutoka kwa waadishi
Raisi Mstaafu wa chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno (kushoto) akijibu maswali ya toka kwa waandishi
Mkuu
wa wa Shule ya Meno Dr. Elison Simon (katikati) akitoa ufafanuzi wa
jambo baada ya kuulizwa na Waandishi wa Habari pichani hawapo. kushoto ni Raisi wa chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania(TDA) na kulia ni Mkuu wa Idara ya Mpangilia wa Meno , Meno ya watoto na Afya ya Kinywa kwa Jamii Dr.Emeria Mugonzibwa
Mkuu wa Idara ya Mpangilia wa Meno , Meno ya watoto na Afya ya Kinywa
kwa Jamii Dr.Emeria Mugonzibwa, akijibu swali lililoulizwa na
mwandishi wa Habari
Raisi
wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania Dr. Lorna Carneiro,
katika akifunga mkutano huo, kulia ni Mkuu wa Shule ya Kinwa na Meno,
Dr.Elison Simon na kushoto ni Raisi Mteule (TDA) Ambege Mwakatobe (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269