Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri
Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa
ndege wa Sharm El- Sheikh, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa
kuhusu maendeleo na Uchumi wa nchini Misri.
Picha zote na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na
mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El- Sheikh, jana kwa ajili ya kuhudhuria
Mkutano wa Kimataifa kuhusu maendeleo na Uchumi wa nchini Misri
………………………………………………………….
Mhe. Makamu wa Rais aliwasili jana
na kupokelewa na mwenyeji wake. Akifafanua kuhusu mkutano huo Dkt Bila
alisema kuwa ‘’Misri ni wadau wetu katika maendeleo, uhusiano kuwa
mkutano huu utafungua fursa zaidi za uwekezaji baina ya nchi zetu.
Mkutano huo wa siku tatu utafunguliwa baadaye leo na Rais wa Misri Abdel
Fahah Sisi, na kuhudhuriwa na baadhi ya wageni mashuhuri kutoka
Mataifa mbalimbali akiwamo Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John
Kerry
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269