Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es Salaama mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Katibu Tawala wa Manispaa ya Kinondoni.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Waandishi wa Habari walioambatana na Mkuu wa Wilaya wakifuatilia.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara Dokta Mniko Kimori.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na akinamama waliopo katika wodi ya uzazi wakieleza uhaba wa majengo kusababaisha msongamano.
Akipokelewa na Mkunga...
Akiongea na wagonjwa...
Akionyeshwa X-Ray na mmoja ya wagonjwa...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina, Dkt. Benedicto Luoga iliyopo Sinza jijini Dar es Salaama akisoma taarifa ya hospitali mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea akina mama aliyowakuta wakipata huduma katika hospitali ya Mwananyamara mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi. Pembeni ni Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani (kulia).
Akinamama wakifurahia kuongea na mkuu wa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani (kulia) akimuongoza Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Wananchi walifika kupata huduma katika hospitali ya Mwananyamala wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda (hayupo pichani) mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akisalimiana na mmoja ya madokta wa hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akiongea akina mama aliyowakuta wakipata huduma katika hospitali ya Mwananyamara mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akionyeshwa jinsi X-Ray inavyofanya kazi.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipata maelezo mara baada ya kuingia chumba cha maabara ya hospitali ya Mwananyamala mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk. Sophinias Ngonyani akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza jana kuangalia jinsi utendaji wake wa Kazi.
Madokta wa hospitali ya Mwananyamala wakishauriana jambo.
Uhaba wa jengo na Vitanda ndiyo chanzo cha kuwalaza watoto watano kitanda kimoja.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269