Breaking News

Your Ad Spot

Mar 11, 2015

MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA TABORA GHULAM HUSSAIN DEWJI, AKITOA UTETEZI WAKE KWENYE KAMATI YA MAADILI YA UONGOZI.

 Meya Ghulam akikabidhiwa kitabu  kwa ajili ya kuapa.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Meya Ghulam akila kiapo.
 Meya wa  Kata Kanyenye Manispaa ya Tabora ,  Ghulam Hussein Dewji akitoa maelezo kwa Kamati ya Maadili ya uongozi  baada ya kutuhumiwa kumiliki mali kinyume na utaratibu.katika ukumbi wa Karimjee  jijini Dar es Salaam
 Meya wa Kataa ya Kanyenye Manispaa ya Tabora  Ghulam Hussein Dewji  kulia akimsikiliza  mwanasheria wa Serikali kwa makini alipokuwa akimuuliza maswali  katika ukumbi wa Karimjee  jijini Dar es Salaam
 Meya wa Kataa ya Kanyenye Manispaa ya Tabora  Ghulam Hussein Dewji , akiomba muongozo tokwa kwa Mwenykiti wa Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Hamisi Msumi . Baada ya kuona analazimishwa akubali anayo uliza na Jaji wa Serikali ilhali vielelezo na ushahidi wa picha katoa mbele ya Balaza hilo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages